×

Waziri Makamba Azindua Bodi ya Mfuko wa Mazingira

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira,  January Makamba,  akizungumza jambo katika kikao cha uzinduzi wa Bodi ya Mfuko wa  Mazingira.

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba,  leo amezindua Bodi ya Mfuko wa Mazingira wenye lengo la kufuatilia mazingira na uhifadhi wake na namna mfuko huo unavyoweza kuendeshwa.

 

Mwenyekiti wa bodi wa mfuko huo, Ali Mufuruki, akiwashukuru wajumbe kwa kuteuliwa kwake.

 

Akizungumza katika kikao hicho, mwenyekiti wa bodi wa mfuko huo, Ali Mufuruki,  alisema ana imani kwamba kuteuliwa kwake ni ishara tosha ya kumwezesha kuimarisha bodi hiyo itakayokuwa na jukumu la kuhifadhi na kuangalia mazingira.

Kwa taarifa kamili tembelea www.globaltvtz.com

Waziri Januari Makamba akizungumza na wanahabari baada ya kuzindua mfuko wa bodi hiyo.

                                                                                              Mufuruki akizungumza na wanahabari.

NA DENIS MTIMA/GPL

 

Kwa stori zote kali, Tu-follow

Facebook @Globalpublishers

Twitter @GlobalHabari

Instagram @GlobalPublishers

YouTube @GlobalTVTZ

 

Save

Save