STORI: Na IMELDA MTEMA| RISASI JUMAMOSI|DAR ES SALAAM
MPENZI wa zamani wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amesema kutokana na kuwaona vijana hawana ‘future’, amepanga kuzaa na mzee mwenye umri mkubwa.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Penny ambaye ni Mtangazaji wa Radio E-FM, alisema kwa muda mrefu ameshiriki uhusiano na kujifunza kwamba vijana hawana malengo ya baadaye hivyo kamwe hawezi kumzalia kijana.
“Nitazaa na mzee ambaye tayari umri wake umeenda, hana papara na anayejua maisha ni nini. Hawa vijana hawana malengo ya baadaye,” alisema Penny.

Kwa stori zote kali, Tu-follow
Facebook @Globalpublishers
Twitter @GlobalHabari
Instagram @GlobalPublishers
YouTube @GlobalTVTZ