×

GLOBAL TV ONLINE – LIVE: Tazama Dstv Eutelsat Awards Inafanyika Sasa

Kampuni ya Multichoice kupitia DST wanampongeza Mwanafunzi Bora wa Mashindano ya Vijana kwa Bara la Afrika, ambapo mwakilishi wa Tanzania, Davids ambaye aliibuka mshindi wa wa pili.
Tukio hilo linafanyikia kwenye Shule ya Feza Boys iliyopo Kunduchi, Dar es Salaam.

TAZMA HAPA KUPITIA GLOBAL TV ONLINE