×

Tetesi: Bondi Mbaroni kwa Ujambazi

Bondi Bin Salim akinyoa Rasta

TETESI zilizotufikia sasa hivi zinasema Bondi Bin Salim, yule muigizaji wa filamu ambaye pia ni mpenzi wa Wastara Juma, amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kujihusisha na ujambazi. Tunaendelea kufuatilia na tutawajuza kinachoendelea

Bondi na Wastara wakiwa katika pozi

 

…Wakiwa katika pozi

 

…Wakiwa katika pozi