×

EU Yamuongeza Muda Mugabe

Rais wa Zimbambwe na Mkewe

ZIMBABWE: Umoja wa Ulaya(EU) umeongeza muda wa vikwazo kwa Rais Robert Mugabe na mkewe, Grace kwa mwaka 1 hadi Februari 20, 2018.

Rais Mugabe amesema kuwa hakutaka Donald Trump awe Rais wa Marekani lakini pia hakupenda Bi. Clinton ashinde kwa kuwa angekuja kuendeleza vikwazo kwa nchi yake.