×

Toyin Kuja na Kipindi cha TV tena!

Toyin

BAADA ya kushindwa kukiendeleza kipindi chake cha Keeping Up With Toyin Aimakhu (KUWTA), msanii wa filamu kutoka Nollywood, Toyin Aimakhu bado hajakata tamaa na sasa ameamua kuja na kipindi kingine cha TV kitakachojulikana kama The Untold Story.

 

Kipindi cha KUWTA Toyin alianzisha kwa kuiga familia ya Kimarekani ya Mwanamitindo Kim Kardashian ambao hadi sasa wana Kipindi cha Keeping Up With The Kardashian lakini kwa Toyin alishindwa baada ya msimu wa mwisho (Aprili 2016) vipande vya video kuvuja mitandaoni.

sasa wana Kipindi cha Keeping Up With The Kardashian lakini kwa Toyin alishindwa baada ya msimu wa mwisho (Aprili 2016) vipande vya video kuvuja mitandaoni. Kwa sasa ameachia kipande cha toleo la kwanza la shoo yake hiyo mpya ya The Untold Story kikiwa na dakika 16.