×

Yanga, Mtibwa Hakuna Mbabe

Simon Msuva akijiandaa kupiga penati

MCHEZO kati ya Yanga na Mtibwa Sugar uliyochezwa katika Uwanja wa Jamhuri,  Morogoro umemalizika kwa suluhu.  Timu hizo  zimememnayana leo huku Yanga ikicheza kwa hofu na nguvu ya zaidi ili iongoze ligi.

Msuva akionyesha vitu vyake uwanjani
Mchezaji wa Mtibwa Sugar akimzuia mchezaji wa Yanga

Msuva akijishika kichwa baada ya kukosa penati

 

 

Mashabiki wa Ynaga walifika uwanjani