×

Ajali ya Mabasi Yatokea Milima ya Kitonga Iringa

Eneo la tukio

IRINGA: Basi la Abood lililokuwa likitokea Iringa kwenda Dar es Salaam limeligonga kwa nyuma basi la Happy Nation lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam kwenye milima ya Kitonga ambapo basi hilo liligonga lori la mizigo aina ya Fuso.

Katika tukio hilo mabasi hayo mawili yalitumbukia kwenye korongo lakini taarifa ya kifo au majeruhi bado hazijapatikana.

Basi la Abood na Happy Nation yakiwa korongoni

 

Basi la Abood na Happy Nation yakiwa korongoni

Taarifa kamili inakujia hivi punde….

Na Salum Milong/GPL

 

SHINDA NYUMBA AWAMU YA PILI YATIKISA JIJI LA DAR ES SALAAM