GLOBAL TV ONLINE inakuletea LIVE makala maalum kuhusiana na tukio la kusikitisha la mauaji ya vijana wawili ambao ni ndugu wa familia moja, Rumai Kambererega (22) na Sainga Kambererega (25).
Vijana hao wanadaiwa kupigwa risasi na polisi, Jumanne iliyopita katika oparesheni ya kuwaondoa wafugaji kwenye Kijiji cha Kidomole Kata ya Makurunge wilayani Bagamoyo.
Usikose! Ni Leo Jumatano hii Machi 8, 2017, saa 11:jioni YouTube Channel ya GLOBAL TV ONLINE ===> bit.ly/2lPgihu.