×

LIVE: Tecno Wazindua Smartphone Mpya ya Kijanja L9 Plus

KAMPUNI ya Simu ya Tecno imezindua smartphone mpya ya kijanaja Tecno L9 Plus.

Sifa zake

Simu hiyo mpya ina uwezo wa finger print

Unaweza kutumia simu hiyo kugawa chaji kwa simu nyingine.

Ina igh search kwa ajili kurahisisha kusearch apps na files

Ina freezer kwa ajili ya kufunga baadhi ya apps za internet

Ina camera ya megapixels 13.