×

LIVE: Taarifa ya Habari Kutoka TBC 1 (Machi 27, 2017-Usiku)

Global TV Online, kwa kushirikiana na kituo cha runinga cha taifa (TBC 1), inakuletea taarifa ya habari ambayo inakupa fursa ya kutazama matukio yote nchi nzima. Utajionea habari mpya zinazotokea kutoka pande zote za nchi, kuanzia jijini Dar es Salaam, mikoa ya Kusini ya Lindi na Mtwara, Mikoa ya Kanda ya Ziwa, Mikoa ya Kaskazini, Nyanda za Juu Kusini mpaka visiwani Zanzibar.

Pia, kwa kutazama Global TV Online, utajionea video nyingine nyingi za kuvutia na matukio ya moja kwa moja (mubashara).