Global TV Online, inakuletea kipindi maalum cha mzee ambaye ni kipofu lakini anajishughulisha na kazi ya ufundi seremala Unadhani inawezekana kipofu akaua namna ya kupigilia misumari, kukata mbao, kupiga randa mpaka meza ikakamilik? Basi tazama hii kupitia Youtube Channel yetu.