The House of Favourite Newspapers

Kichuya: Tutavunja Rekodi ya Miaka 7 Toto

0

STORI: Khadija Mngwai | CHAMPIONI| Dar es Salaam

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Shiza Kichuya, amesema mechi ya kesho Jumamosi dhidi ya Toto Africans itakuwa ngumu lakini nia ni kupata ushindi na kuvuruga rekodi ya Toto kutofungwa na Simba ndani ya miaka saba kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.

“Nimesikia Simba haijawahi kuifunga Toto kwa miaka saba katika Uwanja wa Kirumba, wachezaji kwa pamoja tumedhamiria kushinda mchezo huo.

“Yawezekana mchezo huo ukawa balaa kwa kuwa tumejipanga kupata matokeo mazuri kwa kuibuka na pointi tatu.”

Leave A Reply