The House of Favourite Newspapers

Kikosi cha Simba dhidi ya Toto African leo

0

Klabu ya Simba SC kimeweka hadharani kikosi chake cha wanajeshi 11 kitakachokwenda kuvaana na Toto African mchana wa leo kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara

Kikosi cha Simba
Kikosi hicho kama ifuatavyo :

1.Daniel Agyei
2.J Bukungu
3.Mohammed Shabalala
4.Juuko Murshid
5.Novart Lufunga
6.James Kotei
7.Shiza Kichuya
8.Mzamiru Yassin
9.L Mavugo
10.Frederick Blagnon
11.Mo Ibrahim
Akiba

1.Manyika Jr
2.Hamadi Juma
3.Jonas Mkude
4.Mwinyi Kazimoto
5.Ibrahim Ajib
7.Juma Luizio

Viongozi
1.J Omog (HC)
2.Mayanja (AC)
3.M Mgosi (Team Manager)
Hata hivyo Simba SC mpaka sasa ndio wanaongoza ligi kwa alama za 61 baada ya kupewa alama tatu za pembeni kutoka kwa Kagera Sugar hivi karibuni.

Leave A Reply