Alichosema Zitto Kabwe Baada ya Mauaji ya Polisi 8, Kibiti
Baada ya vifo vya Askari Polisi 8 waliouawa kwa kushambuliwa na watu wenye silaha tarehe 13 Aprili, 2017 katika eneo la Jaribu Mpakani, Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani.
Leo Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe kupitia akaunti yake ya Twitter amesema haya juu ya Polisi 8 waliouawa
Mkuranga, Kibiti na Rufiji ( #MKIRU ) ni eneo ambalo lazima kazi kubwa ya ujasusi wa kiusalama ifanyike. @mwigulunchemba1 simamia hili haswa
Nimetazama magazeti makuu Leo, English and Swahili, naona uzito wa usalama wa eneo la #MKIRU unakuwa mdogo. Makosa makubwa @mwigulunchemba1
Video: Mwigulu Awaongoza Wananchi Kuwaaga Polisi 8 Waliouawa Kibiti, Pwani
Mwigulu Apigwa Butwaa Eneo la Tukio Walipouawa Polisi 8 Kibiti