WATAALAM na wadau mbalimbali wa masuala ya upasuaji wa binadamu wamekutana jijini Dar es Salaam kujadili namna wanavyoweza kuongeza huduma za kazi yao, changamoto mbalimbali na masuala mengine husika.

Na Denis Mtima/GPL