#SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni.
- Wachambuzi wa michezo Saleh Jembe, Wilbert Molandi, Philip Nkini watakupa madini yote kuntu ya ki-sport mwanzo mwisho.
- Mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara na joto la Ubingwa.
- Champions League (Ulaya).
- Chelsea alivyojinyakulia Ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza.
- Udhamini wa SportPesa kwa timu za Yanga na Simba
- Kujiondoa na kurudi kwa Hans Pope Simba
- Wazee wa Simba kukinukisha kisa Mo.
Usikose leo Mei 18, 2017, SAA 10:00
Mgeni wetu atakuwa ni Goal Keeper wa zamani wa Yanga, Taifa Stars, Ivo Mapunda.
- Ni hapa hapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1
@salehjembe
@wilbert molandi
@philipnkini