The House of Favourite Newspapers

VIDEO: Mkuu wa Msafara Serengeti Boys Alivyoangua Kilio Mbele ya Waziri Mwakiembe

0

Kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys jana walirejea Dar es Salaam na kupokelewa na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe.

Serengeti Boys imeshindwa kusonga mbele katika michuano ya Afcon nchini Gabon baada ya kufungwa mechi yao ya mwisho kwa bao 1-0 dhidi ya Niger.

Kwa upande wake mkuu wa msafara wa timu ya vijana ya Serengeti Boys, Ayubu Nyezi alishindwa kujizuia na kujikuta akilia mbele ya wazairi Mwakiembe kwa kile alicho zungumza ambacho tumekuletea kupitia video hii, itazame mpaka mwisho kujionea mwenyewe.

Leave A Reply