Rais Uhuru Kenyatta amekutana na Rais Donald Trump jana huko Taormina nchini Italia walipo kuwa wanaudhuria mkutano wa nchi za G 7 na kufanya mazungumzo mbalimbali.