×

VIDEO: Povu la Hussein Bashe Bungeni Kuhusu Sakata la Madini, Msikie Hapa

Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega kwa tiketi ya CCM, amewataka Watanzania kuacha kumkatisha tamaa mheshimiwa rais, John Pombe Magufuli katika sakata la kutetea rasilimali za wananchi.

Bashe amesema anamuunga mkono Tundu Lissu ambaye anasema matokeo ya kamati mbili alizoziunda.

Leave a Comment