Mwenyekiti wa CUF, Prof. Lipumba asema Katibu Mkuu Maalim Seif hana mamlaka ya kufungua kesi mahakamani dhidi ya RITA- HT @ MWANANCHI pic.twitter.com/wRX7Na7Yf0
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 5, 2017
#Manji bado anashikiliwa na jeshi la polisi.#Uhuru Julai 4#GlobalHabari pic.twitter.com/EcA4HHrzU9
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 5, 2017
#Ubunifu Trafiki kunufaika na hii teknolojia, wataweza kuongoza magari wakiwa wameketi.#TanzaniaDAIMA Julai 5#GlobalHabari pic.twitter.com/2unpg0vmSN
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 5, 2017
#Kesi ya #JamiiForum kuanza kusikilizwa Agosti 7, 2017. pic.twitter.com/Ph5G51BmpV
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 5, 2017
#Lipumba amtaka #Maalim Seif amuombe radhi.#GlobalHabari pic.twitter.com/eOdYhVPaaZ
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 5, 2017
#HalimaMdee yuko mikononi mwa polisi kufuatia agizo la # Mkuu wa Wilaya Kinondoni.#MWANANCHI #GlobalHabari pic.twitter.com/KtfSYex1bF
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 5, 2017
#Bodaboda zimetajwa kutumika zaidi na michepuko.#Raiamwema Julai 5#GlobalHabari pic.twitter.com/clGKIBNI4g
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 5, 2017
#CHAMPIONIJUMATANO Siku moja Baada ya kutua Yanga…Lwandamina amshusha Dar ndugu wa Kamusoko #globalpublishers pic.twitter.com/0wRCv05Mon
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 5, 2017
#Dimba Mambo yamenoga baba, wakala wa Alvaro Marota wavamia ofisi za Real Madrid #Julai 5 pic.twitter.com/iW178TD1JH
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 5, 2017
#MTANZANIA Wapiga dili wamzuia JPM kwenda nje, Julai 5 pic.twitter.com/rC9iKElgLB
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 5, 2017
Rufaa ya Lema na mkewe katika kesi ya kutoa lugha chafu dhidi ya RC Gambo imeahirishwa kutokana na Jaji Maghimbi kuwa likizo- HT @ MWANANCHI pic.twitter.com/S0FgAtcu2k
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 5, 2017
Mahakama ya Wilaya ya Maswa, Simiyu imemhukumu Muhida Elias (30) kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mwanafunzi- HT @ MWANANCHI pic.twitter.com/Pg2EPoCE8x
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 5, 2017
#TanzaniaDaima Mtikisiko wa Lowassa…Mdee akamatwa, waandishi wa habari wahojiwa @edwardlowassatz @ChademaMedia pic.twitter.com/lMDvgBA7Ui
— Global Publishers (@GlobalHabari) July 5, 2017