×

Yasome Hapa Mashtaka 7 Aliyosomewa Manji Akiwa Amelazwa Muhimbili

 

Yusufu Manji na wenzake jana walisomewa mashtaka saba yakiwemo ya kuhujumu uchumi wa nchi, kukiuka sheria ya usalama wa taifa na kukutwa na mihuli ya Jeshi la Wananchi Tanzania.

 

Manji amesomewa Mashtaka hayo wakati akiwa amelazwa kitandani katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Muhimbili akitibiwa malazi ya moyo ambapo alinyimwa dhamana na kesi hiyo kupangwa kusikilizwa tena Julai 19.

 

VIDEO: Manji Asomewa Mashtaka 7 Akiwa Kitandani Hospitali ya Muhimbili Anakotibiwa

1 Comment

Leave a Comment