Wapo Muhimbili Wodini muda mrefu, Ndugu Hawajulikani! Saidia kuwajulisha ndugu zao, wamekaa kwa muda mrefu baada ya kupata ajali ya gari na hawawezi kujitambulisha vizuri ndugu zao wakawajua. Wako MOI wodini kwa miezi kadhaa sasa!
Tuwasaidie waweze kuwapata ndugu zao. kama unaweza kuwatambua, wajulishe ndugu.
#MOI
#MUHIMBILI
#www.globalpublishers.co.tz
