
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amepata msiba wa kufiwa na mke wake Bi Linah George Mwakyembe usiku wa kuamkia tarehe 15 Julai, 2017

Bi. Linah alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Agha Khan alipokuwa akipatiwa matibabu hadi mauti yalipomkuta.

Facebook @Globalpublishers
Twitter @GlobalHabari
Instagram @GlobalPublishers
YouTube @GlobalTVTZ