The House of Favourite Newspapers

Chichi Mawe na Israel Kamwamba Hakuna Mbabe (Pichaz + Video)

0
Francis Miyeyusho ‘Chichi Mawe’ (kulia) akipokea makonde mazito kutoka kwa mpinzani wake, Israel Kamwamba pambano limefanyika katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.
Chichi Mawe (kulia) na mpinzani wake, Israel Kamwamba wakifanya yao.
Wakiendelea na pambano.
Chichi Mawe (kushoto) akiendelea kumshambulia mpinzani wake.

Bondia wa Tanzania Francis Miyeyusho ‘Chichi Mawe’, amezichapa dhidi ya Israel Kamwamba kutoka nchini Malawi kwenye Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem, Dar huku likirushwa mubashara Global TV mpaka mwisho wa mchezo hakukuwa na mbabe.

Leave A Reply