×

Ndugai Athibitisha Kupokea Barua ya Lipumba Kuwafukuza Wabunge 8

Spika wa Bunge Job Ndugai amethibitisha kupokea barua ya Prof Lipumba kuwafukuza uanachama wabunge 8 na madiwani, anatafakari kuchukua hatua.

Leave a Comment