×

Halotel, Mercy Corps Waungana Kuwaiua Wakulima Nchini

Mkurugenzi Mtendaji wa Mercy Corps, Paul Kweheria (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel, Le Van Dai, wakitiliana saini.
…Wakibadilishana mikataba.
Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Halotel, Mhina Semwenda, akizungumza na wanahabari; kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halotel.
Mkutano ukiendelea.

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Halotel kwa kushirikiana na taasisi ya kifedha ya MERCY CORPS leo wameanzisha mpango maalum wa kuwawezesha wakulima  nchini kujiinua kiuchumu na kuboresha shughuli zao kwa kutumia mtandao wa Halopesa.

Kupitia Halopesa wakulima wataweza kupata mikopo na elimu.

Kampuni hizo mbili zimefikia makubaliano ya kutoa huduma hiyo na kutiliana saini mbele ya wanahabari kwenye hafla iliyofanyika makao makuu ya Halotel, eneo la Victoria,  jijini Dar.

(PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL) 

Kumbe Top 5 Ya Wasanii wa BSS 2015, Waliachwa Kwenye Mataa,Ukweli Huu Hapa

Leave a Comment