



Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngawasuma‘ usiku wa kuamkia leo ilimtambulisha rasmi kwa mashabiki wake, Prezidaa wake mpya, Patcho Mwamba.
Utambulisho huo ulifanyikia kwenye onesho la bendi hiyo lililofanyika Mzalendo Pub jijini Dar.
PICHA: RICHARD BUKOS / GPL