×

NGWASUMA YAMTAMBULISHA RASMI PATCHO MWAMBA

Wanenguaji wa Ngwasuma wakikamua.
Maluu Stonchi (katikati) akiwaongoza wenzake kufanya mavituz jukwaani.
Mnenguaji wa Ngwasuma maarufu kwa jina la Tresor akikamua kwa staili ya kutambaa.
Mmoja wa mashabiki akienda kumtunza Prezidaa Patcho.

Bendi ya  FM Academia ‘Wazee wa Ngawasuma‘ usiku wa kuamkia leo ilimtambulisha rasmi kwa mashabiki wake, Prezidaa wake mpya, Patcho Mwamba.

Utambulisho huo ulifanyikia kwenye onesho la bendi hiyo lililofanyika Mzalendo Pub jijini Dar.

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

Leave a Comment