×

Mashauzi Classic walivyokamua Nefaland usiku wa kuamkia leo

Usiku wa kuamkia leo Kundi la Mashauzi Classic lilifanya makamuzi pamoja na Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma kwenye Ukumbi wa Nefaland uliopo Manzese jijini Dar.

Kwenye onesho hilo lililoandaliwa na Bonga Promotion, mashabiki wa taarabu na dansi kila mmoja alipata kitu roho yake inapenda. Kwa uhondo zaidi anagalia picha.

Mashauzi Classic walivyokamua Nefaland usiku wa kuamkia leo
Pedeshee Jamila Mascat, akimtakasa Prezidaa wa Ngwasuma, Patcho Mwamba baada ya kukunwa moyoni.
Mashauzi Classic walivyokamua Nefaland usiku wa kuamkia leo
Mpiga tumba wa FM Academia, Kaposhoo akifanya manjonjo kwa mashabiki.
Mashauzi Classic walivyokamua Nefaland usiku wa kuamkia leo
Wapenzi wa taarabu wakijimwaya.
Mashauzi Classic walivyokamua Nefaland usiku wa kuamkia leo
Wazee wa Ngwasuma kazini.
Mashauzi Classic walivyokamua Nefaland usiku wa kuamkia leo
Isha Mashauzi na vijana wake wakiwajibika.

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL

Leave a Comment