Mzee Lomolomo na Mama Nt’ilie. Chanzo cha mgogoro huu ni tabia ya ulevi ya Mzee Lomolomo. Suluhisho la mgogoro ni kifo cha Lomolomo.
Zita na Kulwa. Chanzo cha mgogoro ni Peter kumpeleka Kulwa nyumbani kwao ili wakaishi pamoja. Suluhisho la mgogoro huu ni Peter kuingilia kati na kuamua ugomvi.
Peter na Doto. Chanzo cha mgogoro huu ni mwalimu Chikoya kuwafukuza shule wanafunzi hawa… BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
1 Comment