UHAKIKI RIWAYA: WATOTO WA MAMA N’TILIE (sehemu ya nne)
Global Publishers
August 7, 2017
0 Comments
Watoto wa Mama N’tilie
WAHUSIKA (watoto-wa-Mamantilie wahusika)
Mama N’tilie
- Mama yake Peter na Zita
- Mke wa mzee Lomolomo
- Mlezi mzuri wa familia
Mzee Lomolomo
- Mume wa Mama N’tilie
- Baba yake Peter na Zita
- Mlevi
Peter
- Mtoto wa Mama N’tilie
- Amekosa elimu kwa sababu ya umasikini
- Ana bidii na ni mchapakazi
Zita
- Mtoto wa Mama N’tilie
- Anakosa elimu kwa sababu ya umasikini
- Ni mchapakazi
Doto
- Ni mtoto wa mtaani
- Ni mgomvi na katili… SOMA ZAIDI