Msanii wa Filamu nchini , Gabo Zigamba, ameungana na wasanii wengine na mashabiki wa filamu kumpa sapoti Wema Sepetu, katika uzinduzi wa filamu yake mpya ya Heaven Sent, uliofanyika jana kwenye ukumbi wa Mlimani City.