×

Kumbe Scorpion Aliyemtoboa Macho Said Siye Aliyefungwa? Samjet Atoka Gerezani, Afunguka -Video

Salum Njwete ambaye mitaa imembatiza jina la Scorpion, ametoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha miaka saba, akidaiwa kumtoboa macho na kumjeruhi vibaya kwa visu kijana Said Mrisho.

Global TV imefanikiwa kuzungumza naye katika Exclusive Interview ambapo anafunguka mambo mengi ambayo hakuna aliyekuwa anayajua, likiwemo suala la watu kumbatiza jina la Scorpion, ambalo kiuhalisia lilikuwa ni jina la mhalifu mwingine.

Leave a Comment