×

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (16)

SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (16)

 

ILIPOISHIA…

Nilifarijika nilipoliona basi alilopanda likiwa mbele na langu likiwa nyuma. Nilifurahi jinsi nilivyokuwa na uhakika wa kusafiri njia moja na mtu niliyemtafuta.

ENDELEA KUISOMA…

Hata hivyo, mambo yalianza kubadilika taratibu. Kuna wakati gari letu lililipita gari alilopanda mzee. Na kuna wakati gari lao lilikwenda mbele zaidi hata nikashindwa kuliona. Mwisho, magari kadhaa yaliingia yakanifanya nisilione basi alilopanda Samike. Kilichoharibu zaidi nilipitiwa usingizi. Nikashindwa kutambua kama basi la Mzee lilikuwa mbela au nyuma. Taratibu nikaulaani mwendo kasi.

 

Basi lilifika Chisanza. Nikashuka haraka kwenda kukagua mabasi ambayo yalifika kabla ya basi langu. Nilikiona nilichokitafuta. Basi la ‘Kinyonga’ liliegeshwa nikagundua lilifika si chini ya masaa mawili yaliyopita. Nilijaribu kuchungulia ndani mwa basi nisione kitu.

 

Kwa masikitiko, niliikamata njia ya kurejea nyumbani. Nilifika nikakuta chumba kimejaa vumbi na mijusi wakubwa wakinitolea macho ya karibu mgeni. Sikujali chochote. Nikalala. Ilikuwa yapata saa nne usiku…  SITASAHAU NILIPOLALA NA MWANAMKE JUU YA KABURI (16) BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

Leave a Comment