×

Mwashiuya ndani Ya Spoti Hausi Leo Saa 10:00 Jioni Live

#SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni.

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya leo atafunguka mambo Exclusive juu ya staa wa muziki anayetreand kwa sasa, Ali Kiba, majeraha yake, ishu ya kwenda Ulaya na ubovu na ubora wa kikosi cha Yanga cha sasa na mambo mengine mengi.

SUBSRIBE HAPA => www.youtube.com/user/uwazi1

SUBSRIBE #YouTube #GlobalTVOnline

Leave a Comment