×

Mahafali Darasa la Saba Msingi St. Mary’s Yafana!

Baadhi ya wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa shule.
Mmoja wa wahitimu akikabidhiwa cheti.

Meza kuu ilivyoonekana.
Wahitimu darasa la saba wakiimba.
Taswira ya hafla hiyo ilivyoonekana.
Sehemu ya wahitimu walipokaa.
Vyeti vikiendelea kutolewa.

 

WAHITIMU wa darasa la saba wa Shule ya Msingi ya St. Mary’s iliyoko Mbezi-Goigi, jijini Dar es |Salaam, jana walifanya mahafali ambayo yalifana na kuwavutia watu waliohudhuria hapo.

 

Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi wa Shule hiyo Dkt. Rose Rwakatare aliwashukuru wazazi wa watoto hao kwa ushirikiano wao wa kuhakikisha wanafanikisha ndoto zao kwa kuwapatia elimu iliyo bora na akawaomba pia watoto hao mwakani wajiunge katika shule hiyo kwa masomo ya sekondari.

 

NA DENIS MTIMA/GPL

Leave a Comment