×

SpotiHausi LIVE: Selemani Matora Alivyoikazia Simba SC

Kocha wa Lipuli, Selemani Matora.

LEO  katika kipindi cha SpotiHausi kutakuwa na mahojino na Kocha wa timu ya Lipuli, Selemani Matora kupitia Global TV Online. #SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni.

Matola atafunguka mengi kikubwa kabisa ni kuhsu mbinu zake mpya za kiufundi alizozitumia kuikazia Simba SC kwenye mchezo wa wikiendi iliyopita ambapo walitoa sare.

Ni hapahapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1

Kipindi cha leo si cha kukosa, mkumbushe rafiki yako kutazama kipindi cha SpotiHausi saa kumi kupitia ===> Global TV Online

Matukio kama haya na mengine, Install App Yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya Global Publishers

Android ===>Google Play

iOS ===>Apple Store

VIDEO: DK SHIKA KUWEKA HISTORIA USIKU WA 900 ITAPENDEZA

Leave a Comment