The House of Favourite Newspapers

Penny: Lulu Ametufunza Kitu Kwenye Mapenzi!

0
Penniel Mungilwa ‘Penny’

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Harusi Yetu kinachorushwa kupitia Televisheni ya Magic Swahili, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amewaasa watu wajifunze kupitia muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Akizungumza na Star Mix Penny alisema kuwa, haipaswi kumuhukumu Lulu na badala yake kujifunza kwani jambo kama hilo linaweza kumpata mtu yeyote. “Jamani hakuna sababu

Elizabeth Michael ‘Lulu’.

ya kumsema Lulu vibaya au kumcheka ila ni kujifunza kuwa tukio kama hilo linaweza kumpata mtu yeyote hivyo mwenzio akipatwa na jambo kama hilo ni vyema kumuombea,” alisema Penny.

Leave A Reply