×

Alikiba Amejibu Kushuka Kimuziki, Amtaja Morrison – Video

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Alikiba, leo Jumatano, Machi 11, 2020, anazungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kampeni yao ya Nifuate iliyoanzishwa na yeye na mwenziye Mbwana Samatta kupitia taasisi yao ya SamaKiba.

 

Alikiba amesema; “Nasikia huyo Morrrison wa Yanga anakanyaga mpira je wa Simba naye anakanya mpira?

 

Mbali na hilo ameeleza kujipanga zaidi huku akiwashutumu Aabdu Kibaa kuwa alimuangusha katika mechi iliyopita na kwamba alifanyiwa figisu na Samatta pamoja na refa kwani zilifungwa goli za offside.

 

Leave a Comment