×

Baraka The Prince Baada ya Kuondoka RockStar (Video)

Mwanamuziki anayetamba na ngoma yake ya ‘Sometimes I Miss You’ amefanya mahojiano na GlobalTv Kupitia kipindi chake cha Global Entertainment, na kufunguka mambo mengi kuhusu muziki wake, penzi lake na mwanamuziki Najma Dattan na mambo mengi kuhusu maisha yake kwa ujumla.

 

Katika mahojiano hayo Barakah The Prince, alipata kigugumizi baada ya kuulizwa kuhusiana na nyumba aliyowahi kudai anajenga, ambayo inasemekana ilikuwa ni uongo nyumba hiyo ni ya mama mkwe wake (Mama Najma).

 

Pia alipoulizwa kuhusiana na wasanii aliodai wako chini yake kupitia Label yake ya Bana Music Lab, Barakah alishindwa kujibu.

Leave a Comment