×

Lukuvi Amtumbua Mkurugenzi Mkuu NHC, Nehemia Mchechu

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ameagiza kusimamishwa kazi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Bw. Nehemia Mchechu na wenzake ili kupisha uchunguzi.

IGP SIRRO: “KATAVI Hakuna Nyumba za Askari, ila Ushirikina….”