
Meridianbet imeonesha upendo wa kweli kwa jamii kupitia mchango wake katika Hospitali ya Kinondoni, ikiwa ni sehemu ya programu zake za CSR zinazolenga kuboresha maisha ya Watanzania.
Hatua hii ilikuja baada ya mashauriano kati ya pande zote mbili, ambapo mahitaji muhimu ya hospitali yalitambuliwa na kupewa kipaumbele.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Mwakilishi wa Meridianbet, Nancy Ingram alisisitiza kuwa afya ya wananchi ni msingi wa maendeleo ya taifa na hivyo ni muhimu kushirikiana katika kuimarisha sekta hiyo.
Uongozi wa Hospitali ya Kinondoni ulieleza kufurahishwa na msaada huo, ukisema utasaidia kuongeza ufanisi wa utoaji huduma kwa wagonjwa.
Meridianbet inaendelea kuwa mfano wa kampuni inayoweka jamii mbele, ikichangia maendeleo ya afya, elimu na ustawi wa wananchi.