Rais Dkt John Magufuli amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais Shein Makamu Mwenyekiti Zanzibar na Philip Mangula Makamu Mwenyekiti Bara na Kanali Abdulrahman Kinana kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa.
Matokeo kura za Makamu Mwenyekiti CCM Bara. KURA Zilipopigwa- 1827, zilizoharibika- 1, halali- 1826, Ndiyo- 1826, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Phillip Mangula.
Matokeo ya kura za Mwenyekiti wa CCM Taifa. KURA Zilizopigwa 1821, Halali 1821, Zilizoharibika 0, Hapana 0, Ndiyo 1821, Mwenyekiti CCM Taifa, Rais Dk. Magufuli.
Matokeo ya kura za Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar. KURA Zilizopigwa 1821, Halali 1821, Zilizoharibika 0, Hapana 0, Ndiyo 1821, Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais Dk. Shein.
Washindi UNEC CCM Bara
-Steven Wassira
-Jerry Silaa
-Dr F. Mukangara
-Angel Akilimali
-Jackson Msome
-Dr Ibrahim Msengi
-Theresia Mtewele
-Mwantumu Zodo
-Ernest Sungura
-Deougratius Ruta
-Eng Burton Kihaka
-William Sarakikya
-Richard Charles
-Anna Msuya
-Charles Shanda
HADITHI: SIKU ZA MWISHO ZA UHAI WANGU – SEHEMU YA 1 (Audio)
Nakuletea dakika 15 za kwanza za simulizi hii tamu ya SIKU ZA MWISHO ZA UHAI WANGU. Ukitaka kuisikiliza simulizi hii Install #GlobalPublishersApp sasa. Utasoma na kusikiliza kitabu chote kuanzia sehemu ya kwanza hadi ya mwisho bureeeee!
Android: Bofya ==>http://bit.ly/2AAQe1d
iOS: Bofya ==>http://apple.co/2Assf4M