×

Mobetto Kwenye ‘Gal Power’ Party, Uganda – Pichaz

Usiku wa kuamkia leo mwanamitindo Hamisa Mobetto alifanya bonge la party nchini Uganda ambayo ilifahamika kama Gal Power. Shuhudia baadhi ya picha kutoka kwenye party hiyo.