Breakings: Mwenyekiti wa CCM Mkoa Apata Ajali na Familia Yake
Share
AJALI: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari lake kupinduka leo akiwa na familia yake, wamepelekwa katika hospital ya Wilaya ya Kiomboi kwa ajili ya matibabu.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.
Comments are closed.