Mpigapicha maarufu wa runinga ya Azam TV, Idd Salum Mambo amefariki dunia baada ya kuugua muda mfupi.
Mambo amefariki dunia akiwa kikazi jijini Mwanza ambako aliwasili jana na mauti kumkuta usiku wa kuamkia leo. Mmoja wa viongozi wakuu wa Azam TV, Baruan Muhuza amesema marehemu anatarajia kuzikwa leo katika makaburi ya Kawe jijini Dar es Salaam.
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.
Prev Post
Next Post
Comments are closed.