
KATIKA Msimu huu wa Sikukuu, Instagram Account ya Global Publishers inendelea kukupa zawadi kabambwe. Baada ya wiki ya Krismasi kugawa bure bundle za internet za GB 10 kwa Followers wetu walioshinda Desemba 25, sasa tumekuja na zawadi kubwa zaidi ya Simu mpya ya Smart Phone aina ya Tecno Camon X (CX) bureeeee kabisa!.
UNACHOTAKIWA KUFANYA
- Follow akaunti yetu ya Instagram @GlobalPublishers kama bado hujafanya hivyo na kisha Like, share piga picha simu yako ikionnyesha umetu-follow na ututumie kupitia WhatsApp 0753 715 779 au DM.
- Acha komenti yako kwa kujibu swali lililopo kwenye page yetu, kuonyesha umeshiriki.
- Tag rafiki yako yeyote, (unaweza kuwatagi marafiki wengi zaidi kadri uwezavyo).
- Malizia kwa kuandika Hash Tag ya; #InstallGlobalPublishersApp (hii itakuongezea nafasi ya kushinda zawadi zaidi ya moja).
- Install Application ya Global Publishers, piga picha simu yako ikionnyesha App hiyo na ututumie kupitia WhatsApp 0753 715 779 au DM.
MAELEZO YA ZAWADI
Mshindi watapatikana kwa KUCHANGANYA na KUCHEZESHA droo ya majina ya akaunti za washiriki kutumia SOFTWARE MAALUM ya kuchagua jina BILA UPENDELEO WOWOTE (Random Picking) na tukio hilo litakuwa LIVE kupitia Instagram ya @GlobalPublishers.
Mshindi wataarifiwa kwa meseji moja kwa moja kwenye akaunti yake (DM), atajitambulisha na kuthibitisha umiliki wa akaunti yake kabla ya kupewa zawadi yake ya simu mpya ya Tecno CX.
MASHARTI
Mhiriki awe nchini Tanzania na mwenye umri wa kuanzia miaka 18, bila kujali jinsia.
Wafanyakazi wa Global Publishers hawaruhusiwi kushiriki shindano hili.
Mshindi atatakiwa ku-repost picha ya swali kwenye Instagram page yake na kuthibitisha kuwa kweli ameshinda na kupata zawadi kutoka @GlobalPublishers.
SHINDANO litaanza Jumapili, Desemba 31, 2017 saa 4:00 Asubuhi hadi IJUMAA, januari 5, 2018 – Saa 10:00 jioni kupitia Instagram ya Global Publishers.
TAHADHARI
Shindano hili linaendeshwa na Global Publishers. Instagram hawajadhamini wala hawahusiki na maudhui ya shindano hili. Kwa kushiriki, unakiri kuwa UNA UMRI zaidi ya miaka 18 na kwamba umesoma na kukubaliana na masharti na vigezo vya shindano hili.