×

Waziri Mhagama Azungumza na Viongozi Vyama vya Wafanyakazi

Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenister Mhagama amezungumza na viongozi wa vyama vya wafanyakazi nchini na kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili na jinsi serikalai ya awamu ya tano ilivyojipanga kuzitatu.