×

JPM Apokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi 6

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amepokea hati za utambulisho kutoka Mabalozi 6 walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini.